Simamia Logo

Simamia App

Usimamizi wa Kisasa
Maswali Yanayoulizwa Sana

Majibu ya Maswali Yako

Pata majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Simamia App. Hujaona jibu lako? Wasiliana nasi moja kwa moja.

SIE ni injini ya akili mnemba (AI) na mahesabu safi ya kibiashara (Operations Research) iliyojengwa ndani ya Simamia App. Inafanya kazi kama Mshauri wako Mahiri wa Biashara asiyechoka: inakusomea taarifa ya sauti ya asubuhi (Morning Voice Briefing kwa Kiswahili), inakukokotolea bidhaa zilizolaza mtaji (Dead Stock) na kutengeneza bango la punguzo papo hapo, inatabiri mahitaji ya msimu kama Sikukuu na Payday, na kupanga mtaji wako ili upate faida kubwa zaidi.

Chat with us