Simamia Logo

Simamia App

Usimamizi wa Kisasa
Vigezo vya Matumizi

Masharti ya kutumia Simamia App

Tafadhali soma masharti haya kwa makini kabla ya kutumia mfumo wetu wa usimamizi wa biashara, mauzo, stock, na oda.

Updated: 17 Mei 2026
Simamia Legal

Data Security

Linda taarifa zako kwa Export DB na backup mara kwa mara.

Payments

Vifurushi vinafanya kazi kulingana na muda wa matumizi.

Fair Usage

Mfumo hautakiwi kutumika kwa spam au shughuli haramu.

1. Usajili na Akaunti

Unaposajili akaunti, unakubali kutoa taarifa sahihi kuhusu biashara yako na kulinda akaunti yako.

  • Tumia taarifa halali za biashara.
  • Linda simu na akaunti yako dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa.

2. Matumizi ya Mfumo

Mfumo unatakiwa kutumika kwa shughuli halali za biashara pekee.

  • • Hakikisha taarifa za stock na mauzo ni sahihi.
  • • Usitumie WhatsApp/SMS kwa spam au vitisho.

3. Malipo na Vifurushi

Huduma za premium zinafanya kazi kulingana na vifurushi ulivyonunua.

Transaction ID

Hakikisha unaingiza namba sahihi ya muamala.

Expire Date

Vipengele vinaweza kuzuiwa muda ukiisha.

Refunds

Malipo yaliyofanyika hayarudishwi.

4. Ukomo wa Wajibu

Simamia App haitawajibika kwa hasara za biashara, upotevu wa data, au matatizo yanayotokana na kifaa, matumizi mabaya, au kutofanya backup.

5. Kusitisha Huduma

Tunaweza kusitisha akaunti yako bila taarifa ikiwa mfumo utatumika kwa udanganyifu, spam, au shughuli haramu.

6. Wasiliana Nasi

Ikiwa una maswali kuhusu masharti haya, wasiliana nasi kupitia simu au sehemu ya msaada ndani ya app.

+255 798 700 900
Chat with us