Hii ni kozi ya dakika-5 inayojumuisha mauzo, stoku (bidhaa) na ripoti.
Mwongozo wa hatua kwa hatua kwa ajili ya kila kitufe kilichopo kwenye programu.
Skani barcode, tafuta kwa haraka, au tumia tabo za bidhaa unazopenda kufanya mauzo papo hapo.
Sajili bidhaa, weka upya stoki, na pakia data kwa wingi kupitia CSV ili kujua kilichopo na kilichoisha.
Angalia muhtasari wa madeni ya wateja, pokea malipo, na ufuatilie hesabu zako kwa urahisi.
Pata ripoti za kina za kila muamala na ujue mwenendo wa faida au hasara ya biashara yako kwa wakati halisi.
Rekodi gharama za uendeshaji kama vile kodi, usafiri, na matumizi mengine madogo madogo ya duka.
Dhibiti oda za wateja, badili hali ya uwasilishaji, na wasiliana nao moja kwa moja kupitia WhatsApp au SMS.
Timu ipo tayari kukusaidia kwa swali lolote
Ongea na timu yetu ya msaada moja kwa moja. Muda wa kawaida wa kujibiwa: dakika 2
Maoni yako yatatusaidia sisi kukua.
Timu yetu ya usaidizi iko tayari kukusaidia. Tupigie simu, tutumie ujumbe WhatsApp, au tembelea ofisi yetu Dar es Salaam.