Simamia Logo

Simamia App

Usimamizi wa Kisasa
Background
Daftari lako Kidigitali

Chukua Udhibiti wa BIASHARA YAKO Leo— App yenye Mshauri wa Duka lako

Simamia mauzo (POS), fuatilia madeni, huduma na faida yako halisi moja kwa moja kutoka kwenye simu yako — programu ya biashara na mfumo wa stoo unaofanya kazi bila intaneti, bila daftari wala mahesabu. Simamia App —Biashara yako, teknolojia yetu.

Inatumika na wafanyabiashara wadogo kote Tanzania 🇹🇿

Acha Kubahatisha, Anza Kusimamia

Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu ya kukosa kumbukumbu sahihi. Simamia App inabadilisha changamoto zako kuwa fursa.

Changamoto za Zamani

Daftari na Kumbukumbu Kupotea

Mauzo, madeni na taarifa za biashara kupotea au kuharibika kirahisi

Kusahau Madeni ya Wateja

Kushindwa kufuatilia nani anadaiwa, kiasi gani na lini alikopa

Bidhaa Kupungua Bila Hesabu

Stock kuisha au kupotea bila kujua kilichouzwa au kilichobaki

Muda Kupotea Wakati wa Kuuza

Kutafuta bidhaa kwa muda mrefu na kuchelewesha huduma kwa mteja

Ripoti za Biashara Kutokueleweka

Kukosa picha halisi ya faida, matumizi na mwenendo wa biashara

Suluhisho la Simamia App

Kumbukumbu Salama Kidijitali

Mauzo, madeni na taarifa zako zote huhifadhiwa kwa usalama ndani ya app

Ufuatiliaji Rahisi wa Madeni

Sajili wadaiwa, lipa madeni na angalia muhtasari wa deni muda wowote

Usimamizi Sahihi wa Stock

Fuatilia bidhaa zinazoingia, zinazouzwa na zilizobaki papo hapo

Mauzo ya Haraka na Rahisi

Tumia scan, smart search na quick sale kuuza kwa sekunde chache

Ripoti na Takwimu za Biashara

Pata ripoti za mauzo, matumizi, faida na maendeleo ya biashara yako

Scan BarcodeMauzo ya HarakaHifadhi Cart100% Offline

Mfumo wa Mauzo (POS)

Scan barcode, tafuta bidhaa na hifadhi mauzo kwa haraka ndani ya sekunde chache bila intaneti.

Mshauri wa BiasharaRipoti za FaidaWateja & Madeni

Usimamizi wa Biashara & AI

Simamia wateja, wasambazaji, matumizi na upate ushauri wa akili mnemba kutoka Simamia Intelligence Engine.

WhatsApp ReceiptsDelivery TrackingOda za Wateja

Usimamizi wa Oda & Risiti

Fuatilia oda, delivery na tuma risiti rasmi za kidijitali kwa wateja kupitia WhatsApp na SMS.

Stock ChiniSmart RestockTahadhari za Stoo

Usimamizi wa Stoo & Tahadhari

Fuatilia bidhaa zilizobaki, tarehe za ku-expire, na pokea mapendekezo mahiri ya kiasi na muda sahihi wa kuagiza mzigo.

Anza Kusimamia Biashara Yako
Kiustadi zaidi Leo

Matumizi bila bando. Kwa haraka. Imetengeneza kwa ajili ya biashara za kweli za Afrika.

Kutoka kwenye Daftari hadi Kwenye Simu Yako
kwa Sekunde Chache.

Daftari la Madeni
Simamia

Muntasari wa Leo

Mauzo Ya Leo

TZS 0/=

Madeni Yaliyobaki

TZS 0/=

Faida Ya Leo

TZS 0/=

Za Chini Na Zilizoisha

0

Zilizoharibika

0

Nyumbani
Oda
Kurasa
Mipangilio

Hesabu zako, moja kwa moja, bila kuandika kwa mkono.

Mauzo ya Sekunde 3

Scan barcode — bidhaa inatambulika papo hapo.

Bidhaa inaingia kikapuni bila kuandika.

Jumla inahesabika, mteja analipa Cash au M-Pesa.

Uza bila kuchelewesha mteja. Scan barcode au tafuta bidhaa papo hapo.

Kikapu

Sabuni Omo8,500

Jumla

TZS 0

Imelipwa

Fuatilia Madeni

Usipoteze pesa zako. Fuatilia wadaiwa na tuma kumbukumbu kwa urahisi.

Kumbukumbu imetumwa kwa Juma

Juma Mwakasege

Mteja

Inadaiwa

Deni

TZS 25,000

Tuma Kumbukumbu

Inafanya Kazi Bila Bando

Mtandao umekatika? Hakuna shida. Simamia inafanya kazi hata bila bando.

Offline
Chai ya Mfuko2,000
Sukari 1kg3,200
Data Zako Zipo Salama Cloud

Pata Picha Halisi ya Faida

Jua faida yako halisi, sio tu kiasi cha pesa kilichoingia kwenye droo.

Mauzo

TZS 0

Faida Halisi

TZS 0

Jan
Feb
Mac
Apr
Mei
Jun
🧠 GAME CHANGER KWA AFRIKA MASHARIKI

Simamia Intelligence Engine (SIE)

Kutoka kuwa daftari la kawaida hadi kuwa Mshauri Mahiri wa Biashara Asiyechoka. Ushauri makini wa kibiashara uliorahisishwa kwa lugha ya Kiswahili.

Taarifa ya Asubuhi (Morning Briefing)

Sauti ya Asili ya Kitanzania (Swahili Engine)

Simamia Voice Engine (Kiswahili cha Asili • Studio Audio)
"Habari ya asubuhi Duka la Kariakoo! Jana uliuza jumla ya TSh 485,000 kwa faida ya TSh 92,000. Leo una bidhaa 2 zinazohitaji kuagizwa haraka: Unga wa Ngano (zimebaki 4) na Mafuta ya Kula 2L (zimebaki 2). Pia una deni la TSh 25,000 la mteja John linalofika tarehe yake leo. Kazi njema!"
Mauzo ya Jana+TSh 485k
Stoo InayoishaBidhaa 2
Madeni ya Leo1 Mteja
Inaendeshwa ndani ya kifaa (100% Offline)
Jaribu Simamia Bure
🤖 Mshauri wa Biashara Bila Intaneti (100% Offline)

Simamia Intelligence Engine inafanya kazi yote ndani ya simu yako — inahesabu, kutabiri na kupendekeza hata intaneti ikikatika kabisa. Pata insights na recommendations hata ukiwa offline bila kutegemea mtandao.

Vipengele 14 vya Mshauri wa Biashara

Simamia Intelligence Engine — Vipengele 14 vya Mshauri wa Biashara

Kila kipengele ni msaada thabiti ndani ya Simamia — uchambuzi na maamuzi bora ya kibiashara kwa lugha rahisi ya Kiswahili.

  1. 1

    Afya ya Biashara

    Tathmini kamili ya mzunguko wa mtaji na kadi moja ya afya ya biashara yako.

  2. 2

    Vitendo Bora vya Leo

    Uchambuzi wa fursa kwa athari, uwezekano na uharaka — orodha ya kile cha kufanya leo.

  3. 3

    Ugawaji wa Mtaji

    Uchaguzi wa bidhaa bora zaidi za kuagiza kulingana na bajeti ndogo ya mzigo (Profit Maximizer).

  4. 4

    Mtaji Uliokwama (Dead Stock)

    Tambua bidhaa zisizouzwa, kokotoa bei nzuri ya punguzo na tengeneza bango la ofa papo hapo.

  5. 5

    Wateja & Tabia Zao

    Customer Insights — wateja bora, waliyoachana nawe, na hatua za kuzawadiwa au kuwavutia tena.

  6. 6

    Uchambuzi wa Bei

    Pendekezo la kubadilisha bei kwa bidhaa zinazouzwa polepole ili kufufua mapato.

  7. 7

    Smart Restock

    Uchambuzi mahiri wa stoo — inakuambia lini na kiasi gani cha kuagiza ili usipungukiwe mzigo.

  8. 8

    Madeni & Hatari

    Credit Risk Insights — tathmini ya uwezo wa kulipa na kumbusho la madeni kwa hatua (Gentle → Urgent).

  9. 9

    Uchambuzi wa Matumizi

    Expense Anomaly Alerts — inatambua matumizi ya kawaida yaliyopita kiwango cha kawaida.

  10. 10

    Mtiririko wa Fedha

    Usimamizi wa mzunguko wa fedha taslimu na tahadhari ya upungufu wa mapato (Cash Flow Health).

  11. 11

    Utabiri wa Msimu

    Seasonal Forecasting — kutabiri ongezeko la mahitaji wakati wa Sikukuu, Payday na kufungua shule.

  12. 12

    Vifurushi & Cross-Sell

    Smart Product Recommendations — mapendekezo ya bidhaa zinazouzwa pamoja ili kuongeza thamani ya kila muamala.

  13. 13

    Ulinganisho wa Wasambazaji

    Linganisha bei za wasambazaji tofauti — nunua kwa bei nafuu zaidi kuokoa gharama kila mwezi.

  14. 14

    Matokeo ya Kampeni

    Pima matokeo ya kila kitendo ulichochukua — kile kilichozalisha faida halisi.

Hesabu zote hufanyika moja kwa moja kwenye simu yako — 100% offline, hakuna data inayoacha simu yako.
⚡ MAUZO YA KWELI TANZANIA

Njia 6 za Kuuza & Mauzo ya Sehemu (Fractional Selling)

Chagua njia unayoipenda zaidi kuuza kwa sekunde chache — iwe ni bidhaa za rejareja, huduma, au vipimo vya robo na nusu.

POS Terminal ya Mkononi (100% Offline)
Hali ya Mauzo: Tayari

Sukari ya Kilombero (Mfuko/Kilo)

Bei ya Kilo 1: TSh 3,200
TSh 1,600
Chagua Sehemu ya Kipimo (Fractional Sale):

✅ Faida: Hakuna tena kubahatisha hesabu za robo kilo, nusu lita wala mita. Mfumo unakata stoo na kuhesabu faida kwa usahihi wa desimali.

Malipo: Taslimu • Madeni • Mixx • M-Pesa • BenkiHifadhi Mauzo kwa Sekunde 2
📊 AKILI MNEMBA & GRAFU ZA KINA

AI Uchambuzi wa Biashara & Deep Trends

Uliza swali lolote kwa lugha ya kawaida au angalia grafu za faida na hasara, mwenendo wa madeni na afya ya stoo.

📈 P&L TrendsGrafu ya Faida Halisi
💳 Madeni & WatejaMkusanyiko wa Madeni
📦 Stoo VelocityFast vs Slow Movers
🔄 MarejeshoReturns & Retention

AI Business Analyst (Swahili Intelligence)

Uchambuzi Mahiri wa Data Ndani ya Simu Yako bila Kupoteza Siri

Swali Lako: "Wateja wangapi walikuja wiki hii?"
🤖 Jibu la AI: Wiki hii umepokea wateja 142 (ongezeko la +18% kulinganisha na wiki iliyopita). Siku ya Jumamosi iliongoza kwa wateja 38 na mauzo ya TSh 620,000.
Kipimo Kikuu142 Wateja
Ulinganisho+18% Ukuaji
💡 Saa yenye wateja wengi: 4:00 PM - 7:30 PMData Imehifadhiwa Ndani ya Simu
🛠️ ZANA ZA KISASA ZA BIASHARA

Zana Kamili za Uendeshaji Dukani Mwako

Kila kitu unachohitaji: kuanzia malipo ya simu, kuagiza kwa wasambazaji, hadi kukusanya bidhaa zilizoombwa.

USSD Push

Malipo ya Simu kwa Push (Mixx by Yas, Halotel, Airtel, M-Pesa)

Mteja anapolipa kidijitali, anapata USSD prompt kwenye simu yake na mfumo unakupa Push Notification ya uthibitisho papo hapo bila kubahatisha.

Mixx by YasHalotel HaloPesaAirtel MoneyM-PesaTigo Pesa
Demand Capture

Bidhaa Zilizoombwa (Customer Demand Tracker)

Rekodi bidhaa ambazo wateja wanaziulizia lakini hazipo stoo. Mfumo unakuonyesha nini cha kuongeza ili uongeze mapato badala ya kuwapa faida maduka ya jirani.

Zilizoombwa Zaidi Wiki Hii: Sabuni ya Maji 5L (Wateja 8), Betri za Gari (Wateja 5).
1-Tap WhatsApp

Ramani ya Wasambazaji & WhatsApp Restock

Orodha kamili ya suppliers wako yenye uwezo wa kupiga simu, SMS au kutengeneza oda ya WhatsApp kiotomatiki kwa kitufe kimoja.

Kukokotoa Wastani wa Bei za Ununuzi
WhatsApp & Thermal

Risiti Rasmi & VAT ya Hiari (Optional VAT)

Tengeneza risiti nzuri zenye nembo yako, tuma WhatsApp/SMS au chapisha kwa thermal printer. Chagua kuweka au kutoweka VAT kulingana na hadhi yako.

Toggle VAT (0% / 18%)Inayoweza Kubadilika
Full Tracking

Usimamizi wa Oda & Marejesho (Returns)

Fuatilia oda za wateja zilizolipwa au njiani, na dhibiti marejesho ya bidhaa huku stoo na hesabu ya faida ikijirekebisha automatically.

Stoo na Faida Zinarudi Kiotomatiki
🎁 BONUS FREE DAYS

Feature Discovery Kit & Siku za Bure (Bonus Free Days)

Gundua vipengele vyote vya app kupitia mafunzo ya ndani ya mfumo na ujishindie Siku za Bure za Kifurushi kadri unavyofikia alama za juu za ugunduzi!

Alama za Ugunduzi: 100%+Siku za Bure!
🛠 SIO BIDHAA TU — HUDUMA PIA

Mfumo wa Usimamizi wa Huduma (Services)

Simamia husimamia bidhaa NA huduma. Sajili huduma zako — Sahani ya Chipsi, Kukata Nywele, Matengenezo ya TV — kisha uziuze kwa gusa moja bila kuhitaji kuzisajili kwenye stoo.

Sajili Huduma zinazotumika mara kwa mara

Ongeza huduma kama "Sahani ya Chipsi", "Kukata Nywele" au matengenezo ili kuzitoza kwa kubofya moja — kila moja na bei na gharama yake.

Uuzaji wa Haraka wa Huduma (Service Selling)

Tumia Smart Search au Quick Sale kuuza huduma papo hapo — mchanganyiko wa huduma na bidhaa kwenye muamala mmoja, hata bila intaneti.

Faida halisi kwa kila huduma

Rekodi gharama ya kila huduma na uone faida halisi ya kila kazi unayoitoa — sio tu kiasi cha pesa ulizopokea.

Uchambuzi wa huduma

Ona huduma zinazouzwa zaidi, huduma zilizolala (dead services), na jumla ya mapato ya huduma kwa kipindi chochote.

Kuhamisha kwa wingi (CSV Import)

Ingiza orodha yote ya huduma na bei zake kwa faili moja la CSV badala ya kuziandika kila moja.

Huduma na bidhaa kwenye duka moja

Duka la chipsi linauza chipsi (huduma) na soda (bidhaa) kwenye POS moja — risiti moja, hesabu moja, faida moja.

Mfano wa biashara zinazotumia huduma ndani ya Simamia:

🥪 Biashara ya Chipsi na Samaki💇 Saluni na Kinyozi🧵 Ushonaji (Tailoring)🔧 Matengenezo ya Umeme na TV🚲 Matengenezo ya Baiskeli💻 Matengenezo ya Kompyuta na Simu
Risiti moja inaweza kuwa na bidhaa NA huduma pamoja — hata bila intaneti.
🇹🇿 AINA 33+ ZA BIASHARA TANZANIA

Aina za Biashara 33+ Tunazoshughulikia

Kutoka pharmacy, hardware, pembejeo za kilimo, maduka ya nguo, viatu, mikate, simu hadi vibanda vya chipsi na saluni — Simamia inafaa kwa kila biashara inayokua Tanzania na Afrika Mashariki.

Pia inashughulikia kikamilifu:

🐟 Duka la Samaki & Dagaa🥐 Bakery & Duka la Mikate📱 Duka la Simu & Accessories💻 Kompyuta & Elektroniki🥩 Bucha ya Nyama & Kuku💄 Duka la Vipodozi & Perfume🌾 Nafaka & Mchele wa Gunia🧃 Juisi Safi, Kahawa & Vinywaji Baridi🛒 Supermarket & Minimarket🚗 Gereji & Spea za Magari🏍️ Spea za Boda & Bajaji🔥 Vituo vya Gesi ya Kupikia (LPG)🛋️ Samani & Showroom ya Furniture🐔 Ufugaji wa Kuku & Mayai🧼 Duka la Sabuni za Maji & Usafi📸 Studio ya Picha & Video👓 Duka la Miwani (Optical)⚽ Vifaa vya Michezo & Jezi🌽 Vyakula vya Mifugo (Animal Feeds)🧸 Vifaa vya Watoto (Baby Shop)🧵 Ushonaji & Ubunifu wa Nguo💇 Saluni ya Kike & Kinyozi🔧 Matengenezo ya TV & Vifaa🍽️ Hoteli, Mgahawa & Mama Ntilie🏪 Duka la Jumla & Rejareja🥤 Depot ya Vinywaji vya Jumla
Ona Aina Zote 33+
🏢 UKUAJI WA BIASHARA BILA VIKWAZO

Matawi Mengi ya Duka & Wafanyakazi Bila Kikomo

Dhibiti maduka yako yote na timu yako kutoka simu yako moja. Kila tawi linafanya kazi 100% offline bila kutegemea intaneti.

Unlimited Offline Branches & Cloud Backups

Multi-Store Offline POS & Cloud Backups

Unda na uendeshe matawi mengi bila kikomo ukiwa offline (Unlimited Offline Branches). Hifadhi ya wingu (Cloud Backups) na usawazishaji wa moja kwa moja unatolewa kulingana na kifurushi ulicholipia.

TAWI / LOCATIONHALI YA MAUZO YA LEO
Tawi 1: Kariakoo Kuu
TSh 1,420,000 (Safi)
Tawi 2: Arusha City
TSh 890,000 (Safi)
Tawi 3: Mwanza Nyegezi
TSh 640,000 (Offline Sync)

100% Offline Per Branch

Kila tawi linafanya kazi kikamilifu bila mtandao wa bando. Wafanyakazi wanaendelea kuuza hata umeme au intaneti ikikatika.

Automatic Cloud Backup & Sync

Simu ikipata mtandao kwa sekunde chache, data zote za mauzo, stoki na matumizi zinasawazishwa wingu kwa usalama wa hali ya juu.

Matawi Yasiyo na Kikomo (Unlimited)

Iwe una maduka 2, 5 au 50 kote nchini (Kariakoo, Arusha, Mbeya, Dodoma, Mwanza) — unaona kila kitu kwenye simu yako kuu.

Hifadhi Salama ya Wingu (Encrypted Backup)Offline Unlimited • Backup by Plan

Usimamizi wa Wafanyakazi & Ruhusa

Role-Based Access & Anti-Theft Protection

Wape wafanyakazi akaunti zenye mipaka: Muuzaji (Cashier) asione faida wala gharama za ununuzi, Meneja asimamie stoo, na Mtunza Stoo asajili bidhaa.

Mmiliki (Owner)Udhibiti Wote 100%
Meneja (Manager)Stoo & Mauzo
Cashier (Muuzaji)Mauzo & Risiti
Mtunza StooKupokea Mzigo
RBAC Profit Shield (Kificho cha Faida):Wafanyakazi hawawezi kuona faida halisi ya duka, matumizi, wala bei za jumla za ununuzi isipokuwa bosi akiwaruhusu.

Role-Based Permissions

Wape wauzaji ruhusa za kuuza tu bila kuona bei za ununuzi wala faida halisi. Wape wasimamizi uwezo wa kuongeza stoo.

Shifti & Kufunga Droo (Cash Drawer)

Hesabu na kagua kila shilingi kwa kila shifti ya cashier. Hakuna tena upotevu wa fedha wakati wa kukabidhiana zamu.

Anti-Theft Audit Logs

Kila punguzo, mabadiliko ya bei au muamala unaofutwa unarekodiwa na jina la muuzaji husika na muda kwa uwazi 100%.

Kila Muamala Unarekodiwa (Audit Trail)Shift & Drawer Security

Inavyofanya Kazi

Safari yako kuanzia usanidi hadi maarifa ya biashara kwa hatua chache.

Kujiandikisha

Fungua Akaunti Yako

Chagua lugha unayopendelea (Kiswahili au Kiingereza), kisha fungua akaunti kuanza.

1
Chaguo za Kukaribishwa
Uthibitishaji

Thibitisha na Anza

Ingia kwa kutumia Google, au thibitisha kwa njia ya simu/barua pepe kwa OTP. Baada ya kuthibitisha, fungua akaunti mpya au jiunge na iliyopo.

2

Ufikiaji Salama

⚡ USAJILI WA AKAUNTIFungua kamili kwa majaribio ya siku 14 bila malipo. Jisajili kwa kutumia Google au OTP.
Dashibodi ya Nyumbani

Biashara Yako kwa Mtazamo

Angalia kadi za muhtasari za mauzo, madeni, faida, bidhaa chache/zilizoisha, na zilizokwisha muda. Tumia kalenda kuchuja data kwa tarehe.

3

Vitendo vya Haraka

Urambazaji wa chini: Nyumbani, Oda, Zana, na Mipangilio. Gusa kadi yoyote yenye data > 0 kuona grafu ya siku 7.

Mauzo na Rada

Malipo ya Haraka, Kwa Njia Yoyote

Skani barcode au QR code, tafuta bidhaa kwa mapendekezo mahiri, tumia mauzo ya haraka kwa huduma, au chagua kutoka kwa vipendwa.

4
Usimamizi wa Rada
Barcode Scan
Smart Search
Service Selling
Quick Favorites
Oda na Stoo

Fuatilia Oda na Simamia Stoo

Fuatilia oda za wateja kwa hali (hajachukua, njiani, imekamilika). Simamia stoo kwa kujaza tena, arifa za muda wake, na uingizaji wa CSV kwa wingi.

5
Kujaza Stoo kwa Busara
Kuingiza DeniKukata GharamaPokea TaslimuMuamala wa Kidijitali
Takwimu na Maarifa

Maamuzi Yanayotokana na Data

Takwimu za kina: faida na hasara, uchambuzi wa mauzo, afya ya stoo, madeni ya wateja, marejesho, na kumbukumbu za ukaguzi — kwa wakati halisi.

6

Udhibiti Kamili

Hamisha ripoti kama CSV au PDF. Fuatilia bidhaa zinazouza zaidi, zinazokwenda polepole, na kiasi cha faida katika biashara yako yote.

Hujaona Jibu Lako?

Wasiliana Nasi Moja kwa Moja

Timu yetu ya usaidizi iko tayari kukusaidia. Tupigie simu, tutumie ujumbe WhatsApp, au tembelea ofisi yetu Dar es Salaam.

Chat with us