Simamia Logo

Simamia App

Usimamizi wa Kisasa
🔨Hardware & Building Materials POS System

Duka la Hardware na Vifaa vya Ujenzi

Biashara ya hardware inahusisha bidhaa nzito (saruji, nondo, mabati), bidhaa zinazouzwa kwa mita au kilo (nyaya, misumari, mabomba), na mikopo mikubwa kwa mafundi na wakandarasi. Simamia inakupa usimamizi usiovuja hata intaneti ikikatika.

Hardware businesses deal with bulk items (cement, rebar, iron sheets), fractional measurements (wires, nails, pipes by meter/kg), and contractor credit. Simamia delivers bulletproof control fully offline.

Huduma & Bidhaa (Service Management System)

Bidhaa unazoweza kusimamia:

100% Offline Support
Mifuko ya Saruji (Twiga, Simba, Dangote)Inatumika POS
Nondo na Mabati ya Aina ZoteInatumika POS
Rangi, Brashi na ThinnerInatumika POS
Misumari kwa Kilo na Mita za NyayaInatumika POS
Mabomba ya Maji na Viunganishi (PVC)Inatumika POS
Kufuli, Bawaba na Vifaa vya UmemeInatumika POS
Changamoto Zilizopo

Changamoto za Maduka ya Hardware

Mafundi na wakandarasi kukopa bila mpango

Madeni makubwa ya nondo na saruji yanayochukuliwa kwenda site bila kumbukumbu rasmi hufunga mtaji.

Kuuza vitu kwa vipimo vidogo (kilo, mita, nusu debe)

Kukata waya wa mita 3.5 au misumari ya nusu kilo huvuruga mifumo ya kawaida ya kidijitali.

Mabadiliko ya bei za saruji na nondo kiwandani

Kununua kwa bei mpya bila kurekebisha bei ya kuuza huleta mmomonyoko wa faida (Margin Erosion).

Ulinzi wa stoo ya ghala na duka

Wafanyakazi kutoa mzigo stoo bila risiti ya mauzo husababisha upotevu mkubwa wa saruji na nondo.

Suluhisho la Simamia

Jinsi Simamia Inavyotatua

Usimamizi wa Madeni na Upimaji wa Tabia ya Kulipa

Pata alama ya tabia ya fundi kabla ya kumkopesha na tuma risiti ya deni kupitia WhatsApp.

Mauzo ya Mita, Kilo na Vipande (Fractional)

Uza nondo nusu, waya wa mita unayotaka, au saruji nusu mfuko kwa usahihi wa namba za desimali.

Mshauri wa Mmomonyoko wa Faida (Margin Advisor)

AI inatambua mara moja bei ya ununuzi ikipanda na kukupendekeza bei mpya ya kuuza kulinda faida.

Risiti Rasmi za Site zenye WhatsApp & Printa

Chapisha risiti ya mzigo au tuma PDF ya WhatsApp moja kwa moja kwa mwenye jengo au fundi.

Uchambuzi wa Kina wa Biashara

Kwa nini Simamia ndiyo Chaguo la Kwanza kwa Mfumo wa Duka la Vifaa vya Ujenzi na Hardware Tanzania?

Simamia ni mfumo bora wa hardware na duka la vifaa vya ujenzi Tanzania. Inasaidia saruji, nondo, mabati, rangi, misumari kwa kilo, madeni ya mafundi, risiti za WhatsApp na ufuatiliaji wa stoo bila intaneti.

Kasi ya Mauzo (Fast POS)

Uza huduma na bidhaa ndani ya sekunde 3 kwa gusa moja kupitia Quick Sale na Smart Search.

📱

100% Bila Intaneti (Offline SQLite)

Data zako zote ziko salama kwenye simu yako hata bando likiisha au mtandao ukikata.

🧠

AI Mshauri wa Biashara (SIE)

Utabiri wa msimu, tahadhari za stoo, na mshauri anayeongea Kiswahili kila asubuhi.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Maswali ya Kawaida kuhusu Mfumo wa Duka la Vifaa vya Ujenzi na Hardware

Q:Naweza kufuatilia madeni ya mafundi wanaochukua vifaa vya ujenzi kwenda site?

Ndiyo. Unaweza kusajili fundi au mwenye jengo, kurekodi amana aliyotoa na salio lililobaki, na kumtumia risiti ya WhatsApp ya kila mzigo unaotoka.

Q:Je, inafaa kwa kuuza waya au misumari kwa mita na kilo?

Ndiyo. Mfumo unaruhusu desimali zote (k.m. 2.5 kg au 15.75 mita) na kukokotoa bei na stoo sahihi papo hapo.

Angalia Aina Nyingine za Biashara

Simamia inafaa kwa kila biashara ya bidhaa na huduma Tanzania.

Anza Bure Leo Bila Malipo ya Awali

Tayari Kukuza Mfumo wa Duka la Vifaa vya Ujenzi na Hardware Yako?

Pakua Simamia App sasa kwenye Google Play au tumia mtandaoni kwa PWA. Simamia mauzo, huduma, madeni na stoo yako kwa uhakika 100% offline.

Chat with us