Kwa nini Simamia ndiyo Chaguo la Kwanza kwa App ya Duka la Nafaka, Mchele, Unga na Mazao ya Shamba Tanzania?
Simamia ni app bora ya duka la nafaka, mchele na mazao ya shamba Tanzania. Inasaidia magunia na kilo kwa desimali, gharama za usafiri, madeni ya wateja na ripoti za faida bila intaneti.
Kasi ya Mauzo (Fast POS)
Uza huduma na bidhaa ndani ya sekunde 3 kwa gusa moja kupitia Quick Sale na Smart Search.
100% Bila Intaneti (Offline SQLite)
Data zako zote ziko salama kwenye simu yako hata bando likiisha au mtandao ukikata.
AI Mshauri wa Biashara (SIE)
Utabiri wa msimu, tahadhari za stoo, na mshauri anayeongea Kiswahili kila asubuhi.