Kwa nini Simamia ndiyo Chaguo la Kwanza kwa App ya Duka la Nguo na Mavazi ya Mitindo (Boutique) Tanzania?
Simamia ni app bora ya duka la nguo na boutique Tanzania. Inafuatilia mitindo, saizi na rangi, amana za wateja, mauzo ya barcode, mabango ya WhatsApp status na kuokoa mtaji wa nguo zilizolala bila intaneti.
Kasi ya Mauzo (Fast POS)
Uza huduma na bidhaa ndani ya sekunde 3 kwa gusa moja kupitia Quick Sale na Smart Search.
100% Bila Intaneti (Offline SQLite)
Data zako zote ziko salama kwenye simu yako hata bando likiisha au mtandao ukikata.
AI Mshauri wa Biashara (SIE)
Utabiri wa msimu, tahadhari za stoo, na mshauri anayeongea Kiswahili kila asubuhi.