Kwa nini Simamia ndiyo Chaguo la Kwanza kwa Mfumo wa Duka la Dawa Muhimu (Pharmacy & DLDM) Tanzania?
Simamia ni app bora ya pharmacy na duka la dawa Tanzania (DLDM). Inafuatilia expiry date, mauzo ya kete na vidonge, tahadhari za stoo ya dawa, madeni ya wateja na ripoti za faida 100% offline.
Kasi ya Mauzo (Fast POS)
Uza huduma na bidhaa ndani ya sekunde 3 kwa gusa moja kupitia Quick Sale na Smart Search.
100% Bila Intaneti (Offline SQLite)
Data zako zote ziko salama kwenye simu yako hata bando likiisha au mtandao ukikata.
AI Mshauri wa Biashara (SIE)
Utabiri wa msimu, tahadhari za stoo, na mshauri anayeongea Kiswahili kila asubuhi.