Kwa nini Simamia ndiyo Chaguo la Kwanza kwa App ya Vituo vya Gesi ya Kupikia (LPG Gas) na Mafuta Tanzania?
Simamia ni app bora ya kituo cha gesi ya kupikia (LPG Gas) Tanzania. Inasimamia mitungi ya Oryx, Taifa Gas, Lake Gas ya 6kg na 15kg, huduma ya delivery, mitungi tupu na madeni ya wateja bila mtandao.
Kasi ya Mauzo (Fast POS)
Uza huduma na bidhaa ndani ya sekunde 3 kwa gusa moja kupitia Quick Sale na Smart Search.
100% Bila Intaneti (Offline SQLite)
Data zako zote ziko salama kwenye simu yako hata bando likiisha au mtandao ukikata.
AI Mshauri wa Biashara (SIE)
Utabiri wa msimu, tahadhari za stoo, na mshauri anayeongea Kiswahili kila asubuhi.