Kwa nini Simamia ndiyo Chaguo la Kwanza kwa App ya Duka la Miwani na Vifaa vya Macho (Optical Shop) Tanzania?
Simamia ni mfumo bora wa duka la miwani na vifaa vya macho Tanzania. Inahifadhi vipimo vya lenzi, inasimamia fremu za miwani, amana na salio la wateja na kutoa risiti za WhatsApp bila intaneti.
Kasi ya Mauzo (Fast POS)
Uza huduma na bidhaa ndani ya sekunde 3 kwa gusa moja kupitia Quick Sale na Smart Search.
100% Bila Intaneti (Offline SQLite)
Data zako zote ziko salama kwenye simu yako hata bando likiisha au mtandao ukikata.
AI Mshauri wa Biashara (SIE)
Utabiri wa msimu, tahadhari za stoo, na mshauri anayeongea Kiswahili kila asubuhi.