Kwa nini Simamia ndiyo Chaguo la Kwanza kwa Mfumo wa Duka la Jumla na Rejareja (Retail & Wholesale) Tanzania?
Simamia ni mfumo bora wa duka la jumla na rejareja Tanzania. Inasaidia barcode za simu, usimamizi wa stoo, Smart Restock kwa EOQ, madeni ya mawakala, ripoti za faida na AI Mshauri wa Kiswahili bila intaneti.
Kasi ya Mauzo (Fast POS)
Uza huduma na bidhaa ndani ya sekunde 3 kwa gusa moja kupitia Quick Sale na Smart Search.
100% Bila Intaneti (Offline SQLite)
Data zako zote ziko salama kwenye simu yako hata bando likiisha au mtandao ukikata.
AI Mshauri wa Biashara (SIE)
Utabiri wa msimu, tahadhari za stoo, na mshauri anayeongea Kiswahili kila asubuhi.